kumekucha
asubuhi na amka kumekucha mtoto wa kitaa na tupa shuka naingia kitaa k kutafuta izo pesa nipate kula na dharau kuikwepa and then eshima kuinasa amen mumngu amenijalia kazi nimepata naweza endesha life vile nitakavyo we kaka na dada unaye kalia kudanga kuvuta ganja changamka sasa usije shutuka kumekucha alafu wenzako tusha tupa shuka
Leave a comment
niatari xema jina ndoumebugi
ilo jina umeiga
makin
You may also like