UPGRADE

6 Plays

06 Oct 2021

YESSIIRSKII buda me napenda hizo ngwai na manzi ametoka githurai shika hizo jegi me nadai kuwasha tu mamoshi niwe hai Win or lose hakuna tai Form 4 na huwezi funga tai hii ni aibu gani walai unaweka chumvi kwenye chai Buda Me napenda Huddah manzi wa Maskuta anakaa tu ukuta Ongeza mafuta na bado huyo manzi me siezi mkuta Shika hizo vitu walai Niko high nipate kwenye sky Legalize hii kitu my guy Chrome Gilbeys bado me nabuy Legio Maria maombi kama mia Rende chafu buda huwezi karibia Tukicome masanse wanakimbia Tear gas wanabaki wakilia Njeve itabidia umeingia Nimeshuta utainusia Me ndio wa kumaliza career Papa Jones anabaki ametulia Skiza me napita na Lucia Hey girl u can call me My Dear Nimeanza ndio nakuja kumadia Rap Scene Venom me naleta fear kila Kitu mbna una interfere buda me nachinja hao maghasia Ananuka moshi who's that Anakaa ufala bloodclat Open Shoes kwani huna lyf sandals unakaa disciple Sunday najihami tu na Bible Hizi dhambi zangu hazinanga title kwa game buda usikue rival AOG me nakuja kuwa handle Sample buda me siezi fumble Hii time ya mwezi hakuna Tampon Mmmm baby girl leave the lights on Mmmm let me tell u what i like on Mmmm black skin from Bondo

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like