Mo Chizo

mo-chizo_-bora-_-uniache-__Beat_

Mo Chizo
mo-chizo_-bora-_-uniache-__Beat_

10 Plays

26 Sep 2021

sijui niseme ni ushamba nisema ni ujinga yaani wakwangu umeniponza nilivokuwa Nakupenda ety leo me ni bwiga yaani kabisa unanifyonza sulisema tuwe otee baby tuwe otee sulisema tuwe otee ........Leo hutaki kunijua na Pete nkuvishe kukuoa nakikishe Leo umefanya niyavujishe Hizo loho zenu mtaraliwa Siri za ndani umetoa ulimwaga mboga nikazoa Leo nataka yakweshe sio kusuka sio kunyoa haya mapenzi yanasumbua ............................

1 Comments

Leave a comment

3 years ago

You may also like